Siku ya Mtoto wa Africa -2016
01 June, 2016 By TCRF
Siku ya Mtoto wa Afrika, husherehekewa Afrika Kote  siku ya tarehe 16 June kila mwaka kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika Kwa mujibu wa Azimio No. CM/Res.1290 (XL). 

 

Tukio hili kwa mara ya kwanza liliadhimishwa kukumbuka maandamano ya mwaka 1976 huko Soweto, wakati wanafunz walipo pinga mfumo wa Elimu wenye ubaguzi wa rangi ambayo yalipelekea mauaji ya halaiki yaliyofanywa na maafisa wa polisi. 

 

Siku ya Mtoto wa Afrika inawakilisha nafasi ya kutathmini kazi zilizofanywa na wadau waote katika kuhakikisha Haki za Mtoto zinatekelezwa kikamilifu. 

Siku hii huadhimishwa na serikali husika, mashirika ya kitaifa nay a kimataifa na jamii kuhuisha nia yao endelevu ya katika kuhakikisha Haki za mtoto zinatimizwa kwa kuandaa shughuli mbalimbali zinazoendana na adhma hiyo.

 

Ujumbe Rasmi wa Mwaka huu kwa Tanzania ni UBAKAJI NA ULAWITI KWA WATOTO VINAEPUKIKA: CHUKUA HATUA KUMLINDA MTOTO” kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

The Day of the African Child is commemorated every year on 16 June by Member States of the African Union (AU), and its Partners (in accordance with Resolution CM/Res.1290 (XL). 

 

This occasion is firstly a commemoration to recall the 1976 uprising s in Soweto, when a protest by school children in South Africa against apartheid inspired education resulted in the public killing of these unarmed young protesters by police officials. The DAC further presents an opportunity to focus on the work of all actors committed to the rights of children on the continent, to consolidate their efforts in addressing the obstacles for realizing these rights. The DAC also provides an occasion for Governments, International Institutions and Communities to renew their on-going commitments towards improving the plight of children by organizing activities aimed at including them.

 

The Official Theme for this year in Tanzania is “SEXUAL ABUSE AND SODOMY TO CHILDREN CAN BE AVOIDED: TAKE ACTION TO PROTECT A CHILD” according to the official information form the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children.

Peace for all children

Did you know?

The Law of the Child Act 2009 standardise the definition of a child in the country. Sec 4(1) A person below the age of eighteen years shall be known as a child.